Mpaka sasa moto ushawaka
Mambo anayofanya sa anavuka mipaka,
Vitu anavyotaka mwenzenu nadata,
Tena anasema eti hawezi kuniacha.
Mashaka usaliti sasa,
Mimi na mwanangu yani ni kama mapacha
Shem lake sasa kitu wali papa
Anazima taa ili niweze kuuchapa
Ndo hivyo yani ndo hivyo
Shem lake anataka tu show
Ndo hivyo jama ndo hivyo
Ndo hivyo yeh
Ila kibaya zaidi ye anavutia
Nasindwa kuzikataa raha za dunia
Huku tunapoenda jamani sio sawa
Sio sawa ye, ye ye yeye
Tena akinimiss ananipatia
Msisimko wa mwili unaniingia
Huku tunapoenda jamani sio sawa
Sio sawa ye, ye ye ye ye
Aah shemeji eeh (shemeji eeh)
Kiukweli ana mambo mengi
Mwenzenu nta dead eeh (nta dead eeh)
Anavyonipa vya bara na zenji
Ah mziki TOT na uwanja kochi
Ana enjoy sana mpaka napiga makofi
Kama siogopi huu ukorofi kafunga milango kwa maana siondoki
Ah TOT na uwanja kochi
Ana enjoy sana mpaka napiga makofi
Kama siogopi huu ukorofi kafunga milango kwa maana siondoki
Ndo hivyo yani ndo hivyo
Shem lake anataka tu show
Ndo hivyo jama ndo hivyo
Ndo hivyo yeh
Ila kibaya zaidi ye anavutia
Nasindwa kuzikataa raha za dunia
Huku tunapoenda jamani sio sawa
Sio sawa ye, ye ye yeye
Tena akinimiss ananipatia
Msisimko wa mwili unaniingia
Huku tunapoenda jamani sio sawa
Sio sawa ye, ye ye ye ye
Ulala lulu x3
Aanhaaa
Tuendeleee ama tusiendelee
(Tuendelee)
Lee ama tusiendelee (tuendelee)
Tuendelee ama tusiendelee (tuendelee)
Tuendele tuendelee (tuendelee) X2
Amigo"