Nitamhimidi Bwana kila wakati
Sifa zake zi kinywani mwangu daima
Katika Bwana nafsi yangu itajisifu
Wanyenyekevu wasikie wakafurahi
Na tumwabudu Mungu
Tuimbe sifa zake
Tumsifu kwa makubwa
Aliyoyatenda
Tujapo mbele zake
Kwa nyimbo nazo sala
Wanyenyekevu wasikie
Wakafurahi
Ningali bado hai nitamsifu
Maisha yangu yote nitamsifu
Nyakati zote za furaha na za huzuni
Wanyenyekevu wasikie wakafurahi
Na tumwabudu Mungu
Tuimbe sifa zake
Tumsifu kwa makubwa
Aliyoyatenda
Tujapo mbele zake
Kwa nyimbo nazo sala
Wanyenyekevu wasikie wakafurahi
Na tumwabudu Mungu
Tuimbe sifa zake
Tumsifu kwa makubwa
Aliyoyatenda
Tujapo mbele zake
Kwa nyimbo nazo sala
Wanyenyekevu wasikie wakafurahi
Wanyenyekevu wasikie wakafurahi
Wanyenyekevu wasikie wakafurahi